DIAMOND AFUNGUA SHOP "WASAFI CLASSIC"


Wasafi Classic kwa nje

Diamond akiwa na Charls


Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ama Raisi wa Wasafi amefungua shop yake ya Mavazi kitaa cha Kinondoni Studio, ni moja ya ndoto na mafanikio ya Diamond kufungua Shop hiyo ambayo itamwezesha kuzidi kupiga hatua kutokana na kukuwa kwa kasi kwa Biznez ya Mavazi hapa nchini. Big Up kwako na kila la kheri broo...

Post a Comment

  1. e bwana dah! big up ,blog yako ni ya ukweli.!!!

    ReplyDelete
  2. Hey!I would like to do some shopping in your shop but i am not in dar.How can u help me in this?

    ReplyDelete
  3. good bro wakuachee ufanye yakooo

    ReplyDelete

emo-but-icon

HASSBABY

HASSBABY

Contact

Abby Hass

Mob: Whatsapp
+255 765 073 073

Total Pageviews

Hot in week

Recent

.

Comments

Instagram

Hassbaby T-Shirt

My Blog List.

item