HARUSI YA ALLAN LUCKY NA HAIKA SAMWEL

Allan Lucky presenter wa Skonga kupitia Ting'aa namba EATV akiwa na bibie pembeni Haika aki apa


Kama State vile 
Wamependezaje? daah! wameng'aa sana
Hizi ni baadhi ya picha katika matukio ya harusi yao.

Post a Comment

 1. mbona ameoa akiwa bado kijana mdogo sana hivyo
  Jamani vijana tusi kimbilia kuingia kwenye ndoa ni pagumu hamjui tuu

  ReplyDelete
 2. hakuna ugumu wowote ukitaka pawe pagumu patakuwa na ukitaka pawe shwari patakuwa Allan hongera sana umetimiza ahadi ya mungu ya kuongeza ulimwengu.

  ReplyDelete
 3. Hongereni.Mungu ailinde ndoa yenu

  ReplyDelete

emo-but-icon

HASSBABY

HASSBABY

Contact

Abby Hass

Mob: Whatsapp
+255 765 073 073

Total Pageviews

Recent

.

Comments

Instagram

Hassbaby T-Shirt

item