WOLPER ANYANG'ANYWA GARI, WEMA NYUMBA SIO YAKE

Ni kama comedy hivi lakini hili picha ni tamu sana, ni vimbwanga vya wasanii wa Tanzania yan namzungumzia Wema Sepetu na Jaqline Wolper, story iliyopo ni kwamba Wema alitangaza kumiliki nyumba yenye thamani ya Tz Milioni 400 lakini picha imebadilika baada ya mhusika kujulikana, huku Wolper ama Amber Rose nae akinyang'anywa BMW X6 na mshefa na sasa akipush Noah yake ya zamani, ni story za town tu news zaidi ingia 

Post a Comment

emo-but-icon

HASSBABY

HASSBABY

Contact

Abby Hass

Mob: Whatsapp
+255 765 073 073

Total Pageviews

Recent

.

Comments

Instagram

Hassbaby T-Shirt

item