DOWNLOAD SOUDY BROWN A.K.A GOSSIP COP - HUONEKANI

Hii ngoma nimeifuma sehemu na nilipoisikiliza nimeikubali ipo fresh nikaona sio mbaya niki share hapa tukapata kuisikiliza wote, ni nyimbo ya muda kidogo.
Maelezo ya Soudy Brown -
"Hii ni moja kati Ngoma Rasmi nilizowahi kurelease inaitwa Huonekani, Inamzungumzia Kijana ambaye ametoka Home kutafuta na hajarudi nyumbani kwa Muda sanaaa, kwa hivyo anakumbushwa arudi japo kutoa salamu nyumbani hata kama hajafanikiwa, Imetaarishwa na Profesa Ludigo 2006, ndani ya Studio ya Big Sound Vingunguti chini ya Management ya Atef , Upanga 4 Life!!"
Soudy Brown a.k.a Uranium a.k.a GossipcopTz

Related

Download Mp3 3989740436472344707

Post a Comment

emo-but-icon

HASSBABY

HASSBABY

Contact

Abby Hass

Mob: Whatsapp
+255 765 073 073

Total Pageviews

Recent

.

Comments

Instagram

Hassbaby T-Shirt

item